UGOMVI unaoendelea wa wasanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Lulu Diva sasa umefika pabaya kila mmoja akitema nyongo kivyake ...
KOCHA wa Morocco, Walid Regragui, ameitaka timu ya taifa kuepuka kujivuna baada ya kufuzu nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya ...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya na miondoko ya Singeli, Abdallah Ahmed, maarufu kama Dulla Makabila, amesema ameweka rekodi ...
KLABU ya Singida Black Stars, imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Fufuni ya Pemba, Mboni Stephen Kibamba ambaye ...
FAINALI za 35 za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zinazoendelea Morocco, zimefikia patamu baada ya timu nne za mwisho ...
KESHO Jumanne, ile safari ya takribani siku 17 katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inakwenda kuhitimishwa kwa kupigwa ...
BAADA ya Yanga kukamilisha uhamisho wa aliyekuwa winga wa Vipers na timu ya taifa ya Uganda, The Cranes, Allan Okello timu ...
KAMA haitatokea dharura basi tambua kwamba Yanga imefunga rasmi usajili kupitia dirisha hili dogo ikiingiza mashine tano ...
Barker alitambulishwa na Simba Desemba 19, 2025 akichukua nafasi ya Dimitar Pantev aliyesitishiwa mkataba Desemba 2, 2025 na ...
KIPA wa zamani wa Yanga anayekipiga kwa sasa Mashujaa akiwa ndiye kinara wa ‘cleansheet’ katika Ligi Kuu Bara, Erick Johola amesema ubora alionao unatokana na mambo manne ikiwamo ...
Sitaki kueleweka kwamba nahimiza TFF itafute teknolojia ya kudhibiti wenye umri chini ya miaka 20, bali itafute mbinu ya ...
Kwa Diarra, wakati mastaa wenzake wa Mali wakiwa wanapanda ndege kurudi katika timu zao za Ulaya, yeye anapanda ndege kurudi ...